KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Thursday, January 24, 2013

TBL YAKABIDHI VIFAA KWA SIMBA NA YANGA ASUBUHI HII

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kulia), akimkabidhi vifaa ya michezo, Katibu wa klabu ya Yanga SC, Lawrence Mwalusako asubuhi ya leo katika ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, unaoanza mwishoni mwa wiki. Kilimanjaro inayozalishwa na kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ni wadhamini wakuu wa Yanga SC. 
 
Viongozi wa Simba, Yanga na TFF wakiwa na Kavishe 
 

  
                                                 Kawemba katikati akitoa nasaha zake
  
Kamwaga kushoto akitoa shukrani kwa wadhamini

MTANDAO WA LIGI WAZINDULIWA JIJINI DAR LEO

7 
2
61

Friday, January 18, 2013

WASANII WA FILAMU BONGO KUPELEKWA NIGERIA

 
Mkurugenzi wa Mad Mad Entertainment, Yasmin Razak (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu kampuni yake kuingia mikataba na wasanii wa filamu wa Tanzania watakaokwenda Nigeria na Jmahuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ajili ya kutengeza filamu. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superior, Issack Kasanga na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba.

SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZAKE ZA MKOANI MBEYA

 
Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri wa Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akikata utepe kuzindua Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air, Michael Shirima. 
 

  Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akishuka kutoka katika ndege ya shirika la Precision Air wakati wa uzinduzi wa Safari za Mbeya – Dar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kabla ya kukata utepe kuzindua safari hizo. Nyuma yake ni Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Michael Shirima.