KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Wednesday, January 29, 2014

OPERESHENI YA M4C PAMOJA DAIMA NDANI YA MTIBWA-MVOMERO

Halima Mdee: Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana