Wednesday, February 20, 2013
Tuesday, February 19, 2013
MATUKIO KATIKA PICHA KONGAMANO LA MICHEZO KATI YA MHONDA TC NA DATCO
TIMU YA VOLLEYBAL YA DATCO KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA MCHEZO
TIMU YA VOLLEYBAL YA MHONDA TC KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA MCHEZO
MASHABIKI WA MHONDA TC WAKIFURAHIA USHINDI WALIOPATA WA SET 3-0 DHIDI YA DATCO KATIKA MCHEZO WA VOLLEYBALL.HATA HIVYO KWA UPANDE WA NETBAL,DATCO WALISHINDA 7-3 DHIDI YA MHONDA TC.
MATUKIO KATIKA PICHA KONGAMANO LA MICHEZO KATI YA MHONDA TC NA DATCO
MKUU WA CHUO CHA DATCO MHESHIMIWA NYWAGE AKIFUNGUA RASMI KONGAMANO LA MICHEZO KATI YA MHONDA TC NA DAKAWA(DATCO)
WANACHUO WA DATCO WAKIIMBA WIMBO WA CHUO TAYARI KWA KUANZA KONGAMANO
WANACHUO WA CHUO CHA UALIMU MHONDA WAKISIKILIZA KWA MAKINI RISALA FUPI TOKA KWA MKUU WA CHUO CHA DATCO MAPEMA WIKI HII!!!
TIMU YA MPIRA WA NETBAL YA MHONDA TC WAKIPIGA PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUANZA PAMBANO LAO ZIDI YA DATCO.
Monday, February 18, 2013
BAADA YA KUJIKITA NA ELIMU YA CHUO KIKUU CHARZY AJIPANGA KATIKA TASNIA YA FILAMU! AFURAHIA KWENDA CHUO NA ANAZIDI KUJIPANGA KATIKA KUKAMILISHA ALBUM YAKE YA MUZIKI.
MSANII CHARLZY MUSHI AKIWA KATIKA MATAYARISHO YA FILAMU YAKE YA KIPEKEE ITAYOITWA JINA LA " ONCE UPON THE TIME"
MSANII CHARLZY KATIKA POZI!!!
MSANII RICK J NAYE KATIKA POZI WAKIWA KATIKA MATAYARISHO YA FILAMU YA "ONCE UPON THE TIME"
WASANII WA EPIQ BONGO STAR SEARCH WAIFUNIKA DODOMA
WALTER AKIONYESHA UMAIRI WAKE
WABABA AKIPONGEZWA NA SHABIKI
HUSNA AKIWAPAGAWISHA MASHABIKI
BARNABA AKIWAIMBISHA MASHABIKI
MASHABIKI WAKIFURAHIA BURUDANI NZURI!
Tuesday, February 5, 2013
GAUCHO, NEYMAR NA WATATU WA CHELSEA WOTE KUANZA DHIDI YA ENGLAND WEMBLEY LEO
KOCHA Roy Hodgson na vijana wake
wanatambua ugumu watakaokutana nao kwenye mchezo wa leo usiku dhidi ya
Brazil na tayari kocha wa wapinzani wake, Luiz Felipe Scolari
amekwishataja kikosi cha kwanza.
Ronaldinho, Neymar na Luis Fabiano
wanatarajiwa kuanza kwenye Uwanja wa Wembley, pamoja na nyota wa
Chelsea, David Luiz, ambaye ni Nahodha wa kikosi hicho, Ramires na
Oscar, na kipa wa Queens Park Rangers, Julio Cesar
Neymar (kushoto) akimuangalia Ronaldinho (kulia)
Wengine wanaotarajiwa kuwamo kwenye kikosi hicho kitakachoivaa England ni pamoja na Daniel Alves, Dante, Adriano na Paulinho.
Nyota wa zamani wa Barcelona,
Ronaldinho, mwenye umri wa miaka 32, mara ya mwisho aliichezea nchi yake
mwaka uliopita ikifungwa 2-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Bosnia.
Hodgson tayari amethibitisha kwamba
Steven Gerrard atakuwa Nahodha wa timu leo upande wa England, wakati
Ashley Cole atacheza mechi ya 100 ya kiThursday, January 24, 2013
TBL YAKABIDHI VIFAA KWA SIMBA NA YANGA ASUBUHI HII
Meneja
wa
Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kulia), akimkabidhi vifaa ya
michezo, Katibu wa klabu ya Yanga SC, Lawrence Mwalusako asubuhi ya leo
katika ukumbi wa mikutano
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya mzunguko wa pili wa
Ligi Kuu
ya Vodacom Tanzania Bara, unaoanza mwishoni mwa wiki. Kilimanjaro
inayozalishwa
na kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ni wadhamini wakuu wa Yanga SC.
Viongozi wa Simba, Yanga na TFF wakiwa na Kavishe
Kawemba katikati akitoa nasaha zake
Kamwaga kushoto akitoa shukrani kwa wadhamini
Wednesday, January 23, 2013
Friday, January 18, 2013
WASANII WA FILAMU BONGO KUPELEKWA NIGERIA
Mkurugenzi wa Mad Mad Entertainment, Yasmin Razak (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu kampuni yake kuingia mikataba na wasanii wa filamu wa Tanzania watakaokwenda Nigeria na Jmahuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ajili ya kutengeza filamu. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superior, Issack Kasanga na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba.
SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZAKE ZA MKOANI MBEYA
Mkurugenzi
wa Huduma za Usafiri wa Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akikata utepe
kuzindua Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya kupitia
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Precision Air, Michael Shirima.
Mkurugenzi
wa Huduma za Usafiri kutoka Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akishuka
kutoka katika ndege ya shirika la Precision Air wakati wa uzinduzi wa
Safari za Mbeya – Dar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe
kabla ya kukata utepe kuzindua safari hizo. Nyuma yake ni Mwenyekiti wa
Bodi ya shirika hilo, Michael Shirima.