Friday, June 8, 2012

UFUNGUZI WA EURO 2012 LEO KATI YA POLAND NA UGIRIKI


Ufunguzi rasmi wa mashindano ya EURO 2012 wafanyika leo ijuma tarehe 8/06/2012 katika viwanja viwili tofauti.Mechi ya kwanza itakuwa kati ya Polland na greece saa 12:00 za jioni katika viwanja vya WARSAW NATIONAL STADIUM
Wakati mechi ya pili itakuwa kati ya RUSSIA NA CZECH REPUBLIC SAA 2:00 USIKU.

UEFA Euro 2012 Official Logo http://www.euro2012media.com/wp-content/uploads/2011/05/UEFA_Euro_2012-logo-248x300.png

No comments:

Post a Comment