Friday, July 6, 2012
AIRTEL NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA DAR
Watoa huduma ya mambo ya Interneti kwenye banda la Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, wakiwa katika pozi la pamoja katika banda lao, leo kwenye Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, aka 'Saba Saba', barabara Kilwa.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment