Thursday, August 23, 2012
Barcelona take edge in Supercopa
CHELSEA have rejected Manchester City’s £30million bid for David Luiz.
Luiz was axed from last night’s win over Reading while Chelsea and City tried to thrash out a deal — though the Brazilian centre-back claimed on Twitter he has a knee injury.
Chelsea were angered by the Tweet and Luiz has been fined.
Boss Roberto Di Matteo said: “This social media thing is all around us now. We’ll deal with it internally.”
But Luiz is still a big part of boss Roberto Di Matteo’s plans and City will need to significantly up their offer to prise him away.
Flamboyant Luiz, 25, arrived at Stamford Bridge in a £21m deal from Benfica in January 2011 and became an instant hit with the fans.
Tuesday, August 21, 2012
LIBERIAN PRESIDENT SUSPENDS SON | 45 OTHER TOP OFFICIALS | FOR FAILURE TO DECLARE ASSETS
Liberian
President Ellen Johnson Sirleaf has
suspended 46 government officials, including her son, for failing to declare
their assets, the presidency said Tuesday [Aug 21].
"President
Ellen Johnson Sirleaf has with immediate effect, suspended 46 government
officials for failing to declare their assets to the Liberia Anti-Corruption
Commission",
said a press release.
Charles Sirleaf, son of the president and deputy
governor of the Central Bank, and David
Anderson, chief of protocol at the executive mansion, are among those
suspended.
The
list also includes several deputy ministers and provincial superintendents.
When
appointed to their respective positions, the officials were given 14 days to
declare their assets.
"The
suspension will remain in force until President Sirleaf receives confirmation
from the Liberia Anti-Corruption Commission that they have met the assets
declaration requirements",
according to the press release.
Before being reinstated, the
suspended officials will have to pay the government an amount representing the
value of their salaries and allowances for the period of suspension, it said.
When first elected in 2006 Sirleaf declared war on corruption, but
failed to make serious inroads despite dismissing several ministers.
Africa's first elected female
president, Sirleaf won a second term
in 2011 elections and tackling graft is still one the most pressing issues in
the country nine years after the end of a devastating civil war.
At Sirleaf's swearing-in ceremony in January, US Secretary of State Hillary Clinton said:
"Corruption is one of the roadblocks to greater prosperity here in Liberia”.
In June the International Crisis
Group released a report warning that corruption, along with nepotism, impunity
and unemployment, could "jeopardise Liberia's democracy".
Sunday, August 19, 2012
MAN UNITED WAMUONGEZEA MKWANJA VAN PERSIE
Robin
van Persie ataongezewa pauni Milioni 10 zaidi katika mshara wake wa
pauni 250,000 kwa wiki Manchester United - kama atadumu katika klabu
hiyo kumalizia mkataba wake wa miaka minne.
Malipo
hayo yatakayoongezwa kwa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi
aliyezaliwa miaka 29 iliyopita, kwa kuishi kwake Old Trafford ndani ya
mkataba wake wote wa miaka minne, ni nje ya posho ambazo atashinda
mataji ya United kama Ligi Kuu, Kombe la FA, Kombe la Ligi na Ligi ya
Mabingwa
Wengi
ndani ya United, akiwemo Mtendaji Mkuu, David Gill, waliulizwa iwapo
uwekezaji wa pauni milioni 64 kwa Van Persie - pamoja na uhamisho wa
pauni Milioni 24 kwa mkataba wa miaka minne kama utalipa.
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
SAMATTA AING'ARISHA MAZEMBE AFRIKA
Na Princess Asia, Cairo
TOUT Puissant Mazembe
ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), imejiweka sawa kwenye mbio za
kuwania ubingwa wa Afrika, baada ya kuifunga
Zamalek ya Misri nyumbani kwao, Cairo mabao 2-1.
Messi puts Barca top, Real held
Tuesday, August 14, 2012
Ronaldo, Messi, Iniesta nominated for 2012 UEFA best player award
The three Spain-based
players came top of a poll of 53 journalists from UEFA's member
associations. Andrea Pirlo of Juventus finished fourth, while
Barcelona's Xavi came in fifth.
Messi won this
award last year. Who do you think should win it this year? I think
Ronaldo should, he was quite outstanding at the 2012 Euro Cup.
Monday, August 13, 2012
IVANOVIC ALIPEWA KADI NYEKUNDU HEWA, KUTOFUNGIWA HATA MECHI MOJA
Ivanovic akitolewa nje na Kevin Friend
Kolarov akiangushwa chini na Ivanovic
BEKI wa Chelsea, Branislav Ivanovic
hatapewa adhabu yoyote ya kukosa mechi licha ya kutolewa nje kwa kadi
nyekundu jana katika mechi ya Ngao ya Jamii waliyofungwa na Man City.
Friday, August 10, 2012
MAANDALIZI YA STARS KUIVAA BOTSWANA YAANZA RASMI LEO
Juma Kaseja mazoezini
Bocco kulia na Poulsen
Kocha wa makipa Juma Pondamali kulia, akiwaongoza makipa Kaseja, Dida na Mwadini
Ngassa na Nyoni
Bahanuzi na Boban kulia
John BOKo na Boban
Tuesday, August 7, 2012
EMMANUEL OKWI KUTUA DAR LEO
WAKATI mshambuliaji anayewapagawisha Simba, Mganda Emmanuel
Okwi, akitarajiwa kutua nchini leo, klabu hiyo kesho imepanga kutambulisha
nyota wake wapya katika Tamasha la Simba Day.
Katika tamasha hilo, Simba itakwaana na City Stars ya Kenya
katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa,
jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, alisema Okwi
atawasili nchini akitokea kwao Uganda.
Nyota huyo anakuja nchini wakati akisubiri majibu yake ya
majaribio ya kucheza soka ya kulipwa katika klabu ya Red Bull Salzburg ya
nchini Austria.
Alisema, Okwi pia atashiriki katika mechi hiyo dhidi ya City
Star, ambayo ni maalum sambamba na mshambuliaji wao mpya waliyemsajili kutoka
Azam FC, Mrisho Ngasa na wengineo.
SIMBA NA CHUI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MWAKA HUU
CHAMA cha Wakulima na
Wafugaji kwa kanda ya kaskazini(TASO) kimesema kuwa maonesho ya mwaka huu
yatakuwa na mabadiliko makubwa hasa kwa upande wa Ufugaji ambapo ndani ya
maonesho hayo pia kutakuwa na maonesho ya wanyama mbalimbali kama vile Simba na
Chui huku lengo likiwa ni kukuza na kuimarisha zaidi kilimo kwanza hapa nchini.
Sunday, August 5, 2012
BIG BROTHER SATRGAME WINNER: IT IS KEAGAN!!
KEAGAN (kati)
Prezzo
Hayawi hayawi, hatimaye yamekuwa! Ni
Msauzi Keagan! Ameibuka kidedea katika kinyanyiro cha Big Brother Afrika
na amejinyakulia dola za Kimarekani 300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi
milioni 400 za kibongo! Prezzo ameingia fainali na Msauzi huyo lakini
bahati haikuwa…
Jennifer Lopez & Casper Smart's Family Park Display of Solidarity
The former "American Idol" judge and her backup dancer beau ventured to the outdoor gathering place with Jennifer's twins, Max and Emme, with a helping hand also along for the playground playdate.
Really? Man Marries Three Women In Church In Zaire
WTH, what is going on? You take three brides to the church at once? For real? So how would the wedding vow read
Manchester United 'look to hijack Nuri Sahin's Arsernal Transfer
Like his Gunners counterpart Arsene Wenger, United boss Sir Alex
Ferguson is in the market for another creative midfielder and is keeping
a close eye on Sahin's situation at Real Madrid.
Nuri Sahin looks certain to leave Real Madrid for the Premier League
BANC ABC SUPER 8 YAANZA LEO
Na Prince Akbar
MICHUANO
mipya ya soka ya BancABC Super 8, ambayo bingwa wake atazawadiwa Sh.
Milioni 40 na mshindi wa pili Milioni 20, inatarajiwa kuanza leo katika
miji ya Dar es Salaam, Zanzibar, Mwanza na Arusha. Pia timu mbili
zitakazoishia hatua ya nusu fainali kila moja itapata sh. milioni 15
wakati zilizobaki kila moja itapata sh. milioni 5.
CHEKA AUNYEMELEA UBINGWA WA DUNIA
Chama cha ngumi Cha Marekani (IBF/USBA) kipo katika mchakato wa kuidhinisha pamnbano la ubingwa wa mabara katia ya bingwa wa IBF katika bara la Arika Francis Cheka na bingwa anayeshikilia ubingwa wa mabara Benjamim Simon wa Ujerumani.Nafasi ya Francis Cheka inakuja baada ya kutamba kwenye orodha ya viwango vya abara vya IBF toka mwaka 2011 kama ifuatavyo:
Saturday, August 4, 2012
FIVE AFRICAN SUPERSTARS UNITE FOR BIG BROTHER STARGAME FINALE! PLUS WATCH SPECIAL RED CARPET EDITION OF ‘STARGIST
Five
of Africa’s hottest musicians are set to take to the stage for the
star-studded finale of AfricaMagic’s ultra-popular BIG BROTHER STARGAME in which one housemate will walk away
USD 300 000 richer!
KAVUMBANGU ATUA NA KUPEWA JEZI NO 21 YANGA
Na Prince Akbar
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Burundi, Didier Kavumbangu ametambulishwa rasmi leo katika klabu yake ya Yanga, makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam na kukabidhiwa jezi namba 21.
NGASA AKABIDHIWA JEZI YA BANKA SIMBA,KUTAMBULISHWA KWA MASHABIKI SIMBA DAY,AKUBALI YAISHE!!
MCHEZAJI
mpya wa Simba, Mrisho Ngassa, leo amekabidhiwa rasmi jezi No,16
iliyokuwa ikitumiwa na mchezaji Mohamed Banka, ambaye pia alijiunga na
timu hiyo akitokea Yanga kabla ya kutemwa katika msimu uliopita.
STARS KUCHEZA NA BOTSWANA AGOST 15
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kucheza mchezo maalum wa Kalenda ya FIFA na timu ya Taifa ya Botswana (Zebras) Agosti 15 mwaka huu, mchezo utakaofanyika jijini Gaborone.
Tayari
Kocha Kim Poulsen alishatangaza kikosi cha wachezaji 21 kitakachoingia
kambini Agosti 8 mwaka huu tayari kwa mechi hiyo ya kirafiki ya kujipima
nguvu.
MAYWEATHER ATOKA JELA
Akipokelewa na ndugu na jamaa zake baada ya kutoka nje.
Akiagana na mashabiki wake na kuingia garini kuelekea nyumbani.
Bondia machachari, Floyd Maywether, akiwa na furaha baada ya kuwaona mashabiki wake wakiwa nje ya Lango la Gereza hilo baada ya kutoka nje. Bondia huyo amechiwa huru jana asubuhi baada ya kutumikia kifungo chake cha miezi miwili alichohukumiwa kwa kumdhalilisha rafiki yake wa kike mbele mtoto wake.
Akiagana na mashabiki wake na kuingia garini kuelekea nyumbani.
Bondia machachari, Floyd Maywether, akiwa na furaha baada ya kuwaona mashabiki wake wakiwa nje ya Lango la Gereza hilo baada ya kutoka nje. Bondia huyo amechiwa huru jana asubuhi baada ya kutumikia kifungo chake cha miezi miwili alichohukumiwa kwa kumdhalilisha rafiki yake wa kike mbele mtoto wake.
Stevie Wonder Files for Divorce
Stevie Wonder has filed for divorce from his wife of 11 year years,
designer Kai Millard Morris, citing irreconcilable differences
In his petition Stevie says he and Kai have been separated since 2009 and is asking for joint custody of their two sons.
The father of seven married Kai in 2001. It was his second marriage. He was previously married to Motown singer, Syreeta Wright from 1970 till 1972.
In his petition Stevie says he and Kai have been separated since 2009 and is asking for joint custody of their two sons.
The father of seven married Kai in 2001. It was his second marriage. He was previously married to Motown singer, Syreeta Wright from 1970 till 1972.
Friday, August 3, 2012
UJUE UGONJWA WA KISUKARI,DALILI ZAKE,MADHARA NA TIBA MBADALA
Kisukari (jina la
kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya
glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini
mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Dalili za
kisukari ni
- kukojoa kupitia kiasi cha kawaida
- kiuu kikubwa
- kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa kipofu
- kuchoka haraka
- vidonda vinavyopoa polepole mno hasa kwenye miguu hadi kupotea viungo
TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WAKUFUNZI CHUO CHA UALIMU MHONDA YAWATESA WANACHUO WAO!
YAKUBALI KIPIGO CHA 4-2 DAKIKA ZA MWISHO
Hata hivyo dakika 90 zamalizika bila kukata pumzi!!!!
Wanachuo washangwaza na viwango vya juu vya wakufunzi.
Ukosefu wa Bahanuzi(Erick kalwani) waigalimu timu.
Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mhonda Mrs G.L.Mnyanyi akisalimiana na wachezaji wa timu zote kabla ya kuanza mechi.Pia alikuwa kama mgeni rasmi katika mpambano huo.
Mgeni rasmi akiwa anachukua picha ya pamoja kabla ya kuanza mechi.
Kiungo wa timu, Albert Lukoo(Niyonzima) akisalimiana na Mgeni ramsi huku akiongozwa na captain wa timu ya Wakufunzi,Sir Masunga(Van PERSE) ALIYEFUNGA GOLI LA KWANZA.
Mfungaji wa goli la pili kwa wakufunzi,Sanga,Z(Hamisi Kiza) akisalimiana na mgeni rasmi
Hata hivyo dakika 90 zamalizika bila kukata pumzi!!!!
Wanachuo washangwaza na viwango vya juu vya wakufunzi.
Ukosefu wa Bahanuzi(Erick kalwani) waigalimu timu.
Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mhonda Mrs G.L.Mnyanyi akisalimiana na wachezaji wa timu zote kabla ya kuanza mechi.Pia alikuwa kama mgeni rasmi katika mpambano huo.
Mgeni rasmi akiwa anachukua picha ya pamoja kabla ya kuanza mechi.
Kiungo wa timu, Albert Lukoo(Niyonzima) akisalimiana na Mgeni ramsi huku akiongozwa na captain wa timu ya Wakufunzi,Sir Masunga(Van PERSE) ALIYEFUNGA GOLI LA KWANZA.
Mfungaji wa goli la pili kwa wakufunzi,Sanga,Z(Hamisi Kiza) akisalimiana na mgeni rasmi
Mgeni rasmi akiwa tayari kuupokea mpira tayari kWA Ufunguzi
Wachezaji wakitawanyika tayari kwa mpambano
Baadhi ya wanachuo wakifuatilia pambano kwa makini
Mganga mkuu wa Timu yA Wakufunzi Miss AGRIPINA afurahia vipaji vya timu yake.
Sanga ,Z(KIZA), akiwanyanyasa mabeki wa timu ya wanachuo,pasi iliyopigwa moja kwa moja kwa T,Masunga na kuipatia timu ya Wakufunzi bao la kwanza.
Baadhi ya wanachuo wakishangwaza na kiwango kikubwa cha soka kilichoonyeshwa na Wakufunzi
Beki maili wa timu ya Wakufunzi,Mbuyu twite,(katikati)akiwa kazini
BE READY FOR.......THE BIGEST INTERNATIONAL FRIENDLY MATCH
Date: Wednesday, 08/08/2012 20:00
Competition: Friendly
Stadium: Ullevi Stadium
City: Göteborg
Television: GolT
COUNTRY:SWEDEN
ULLEVI STEDIUM
Competition: Friendly
Stadium: Ullevi Stadium
City: Göteborg
Television: GolT
COUNTRY:SWEDEN
ULLEVI STEDIUM
Thursday, August 2, 2012
Airtel yatoa msaada wa vitabu shule ya sekondari Kisawasawa Kilombero- Morogoro
Kisawasawa Secondary School Headmaster in Morogoro, Menasi Msigwa receiving books donation from Dangio Kaniki Airtel Public relations and Event Officer second while from left looking on is Airtel Public relations and Event Officer Dangio Kaniki.
CHUJI AREJESHWA STARS, BAHANUZI NDANI, BARTHEZ AACHWA AITWA KIPA WA BENCHI
Na Prince Akbar
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa
Stars, Mdenmark Kim Poulsen leo ametaja kikosi cha wachezaji 21 kwa ajili ya
mechi ya kirafiki itakayochezwa ugenini Agosti 15 mwaka huu, ndani yake akiwaita
kiungo Athumani Iddi ‘Chuji’ na mfungaji bora wa Klabu Bingwa ya Soka Afrika Mashariki
na Kati, Kombe la Kagame, Said Bahanuzi ‘Spider Man’.
Hata hivyo, ajabu Poulsen amemuacha kikosini kipa Ally Mustafa
Mtinge ‘Barthez’ aliyedaka kwa umahiri mkubwa, mechi tatu za Kagame, Robo
Fainali, Nusu Fainali na Fainali, hadi kuiwezesha Yanga kutwaa taji, huku
akimuita kipa Mwadini Ally wa Azam, ambaye hajadaka hata mechi moja kwenye
mashindano hayo.
Wachezaji wote walioitwa Taifa Stars inayodhaminiwa na
Kilimanjaro Premium Lager wanatakiwa kuripoti kambi kwenye hoteli ya Tansoma,
Dar es Salaam, Agosti 8 mwaka huu saa 1 jioni tayari kwa mazoezi yatakayoanza
siku inayofuata.
Makipa walioitwa kwenye kikosi hicho ni Deogratias Munishi
(Azam), nahodha Juma Kaseja (Simba) na Mwadini Ali (Azam). Mabeki ni nahodha
msaidizi Aggrey Morris (Azam), Erasto Nyoni (Azam), Kelvin Yondani (Yanga) na
Shomari Kapombe (Simba).
Viungo ni Athuman Idd (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Haruna
Moshi (Simba), Mrisho Ngassa (Azam), Mwinyi Kazimoto (Simba), Ramadhan Chombo
(Azam), Ramadhan Singano (Simba), Salum Abubakar (Azam) na Shabani Nditi
(Mtibwa Sugar).
Washambuliaji ni John Bocco (Azam), Mbwana Samatta (TP
Mazembe, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo- DRC), Said Bahanuzi (Yanga), Simon
Msuva (Yanga) na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-
DRC).
Robin van Persie has signed contract with Juventus, says agent Fabio Parisi
As well as The Old Lady, Manchester United and Manchester City have both been credited with an interest in the Dutchman but, according to Parisi, RVP has been set to join the Turin club for a while now.
He told Italian TV: 'I think Juventus have had a signed contract with Van Persie for some time locked away in a notary’s desk.
'It is just my opinion, but I think there’s an eight out of ten chance the Dutchman will join the Bianconeri.'
He added that Juventus are very ambitious and determined to do well this season after their Serie A win last season and Van Persie is seen as 'the ideal addition to achieve that'.
Parisi also hinted that Juve may have been considering a bid for Manchester City's Edin Dzeko at one time but explained: 'I don’t think Edin Dzeko is the right player for the Bianconeri.'
Van Persie, 28, scored 37 goals for the Gunners last season.
SURE BOY, AZAM WAMALIZANA SALAMA
Sure Boy arudi kazini
Na
Prince Akbar
SALUM Abubakar ‘Sure Boy’ amemalizana salama na
uongozi wa Azam FC, ambao umejiridhisha mchezaji huyo hakuhusika kwa namna
yoyote kuihujumu timu hiyo katika fainali ya Klabu Bingwa ya soka Afrika Mashariki na Kati,
Kombe la Kagame, dhidi ya Yanga, Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.