KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Tuesday, March 4, 2014

FIFA INTERNATIONALS FRIENDLY MATCH ON WESDAY 5 MARCH 2014.


04:00
Costa Rica
v
Paraguay

12:40
Japan
v
New Zealand

13:00
Albania
v
Malta

13:00
Botswana
v
South Sudan

13:00
Burkina Faso
v
Comoros

13:00
Burundi
v
Rwanda

13:00
Congo
v
Libya

13:00
Iran
v
Guinea

13:00
Mauritania
v
Niger

13:00
Morocco
v
Gabon

13:00
Mozambique
v
Angola

13:00
Namibia
v
Tanzania

16:00
Georgia
v
Liechtenstein

16:00
Russia
v
Armenia

17:00
Zambia
v
Uganda

17:00
Lithuania
v
Kazakhstan

17:45
Bulgaria
v
Belarus

19:00
Algeria
v
Slovenia

19:00
Greece
v
South Korea

19:00
Montenegro
v
Ghana

19:00
South Africa
v
Brazil
FNB Stadium
19:30
Bosnia-Herzegovina
v
Egypt

20:00
Colombia
v
Tunisia

20:00
Cyprus
v
Northern Ireland

20:00
Senegal
v
Mali

20:00
Wales
v
Iceland

20:00
Romania
v
Argentina

20:30
Luxembourg
v
Cape Verde Islands

20:30
Turkey
v
Sweden

21:00
Ukraine
v
USA

21:30
Austria
v
Uruguay

21:30
Switzerland
v
Croatia

21:45
Belgium
v
Côte d'Ivoire

21:45
Germany
v
Chile
Mercedes-Benz Arena
21:45
Poland
v
Scotland

22:00
England
v
Denmark

22:00
France
v
Netherlands

22:24
Portugal
v
Cameroon
Lisbon
22:50
Spain
v
Italy
Madrid

VITA KALI YA MAMBA NA CHATU ZAIDI YA MASAA MATANO,HATIMAYE MAMBA AMEZWA

 
Nyoka aina ya Chatu akipambana na Mamba ndani ya maji.
  
Nyoka huyo baadaye alifanikiwa kumzidi nguvu Mamba na kumuua na kisha kumtoa ndani ya maji hadi nchi kavu na kuanza kummeza.

HIVI NDIVYO YANGA SC WALIVYOWAKALISHA WAARABU NA KUWEKA HISTORIA MPYA

Picha zote na Bin Zubery Blog.
 
 Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kushoto akiumiliki mpira pembeni ya beki wa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa kwanza wa kuania kutinga Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 1-0.
  
Mshambuliaji wa Yanga SC, Emmanuel Okwi kulia akimtoka beki wa Al Ahly
  
Mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Al Ahly
  
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Al Ahly
  
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akipasua katikati ya wachezaji wa Al Ahly
  
Kikosi cha Yanga SC
  
Kikosi cha Al Ahly jana 

Monday, March 3, 2014

UFARAGUZI WA ZANA ZA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA NDANI YA MHONDA TC.

Mwanachuo wa mwaka wa pili,Seleman K Abdunuru akionyesha umahiri wa kufaragua zana.
Mkufunzi J.Kinanda akijaribu kuibeba moja ya nyumba iliyofaraguliwa .





Zana hizi zote zimefaraguliwa na kutengenezwa na Suleiman Abdunuru wa mwaka wa pili 2013/2014 Chuo Cha Ualimu Mhonda.