KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Friday, August 3, 2012

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WAKUFUNZI CHUO CHA UALIMU MHONDA YAWATESA WANACHUO WAO!

YAKUBALI KIPIGO CHA 4-2 DAKIKA ZA MWISHO
Hata hivyo dakika 90 zamalizika bila kukata pumzi!!!!
Wanachuo washangwaza na viwango vya juu vya wakufunzi.
Ukosefu wa Bahanuzi(Erick kalwani) waigalimu timu.
Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mhonda Mrs G.L.Mnyanyi akisalimiana na wachezaji wa timu zote kabla ya kuanza mechi.Pia alikuwa kama mgeni rasmi katika mpambano huo.
Mgeni rasmi akiwa anachukua picha ya pamoja kabla ya kuanza mechi.
Kiungo wa timu, Albert Lukoo(Niyonzima) akisalimiana na Mgeni ramsi huku akiongozwa na captain wa timu ya Wakufunzi,Sir Masunga(Van PERSE) ALIYEFUNGA GOLI LA KWANZA.
Mfungaji wa goli la pili kwa wakufunzi,Sanga,Z(Hamisi Kiza) akisalimiana na mgeni rasmi
Mgeni rasmi akiwa tayari kuupokea mpira tayari kWA Ufunguzi

Wachezaji wakitawanyika tayari kwa mpambano
Baadhi ya wanachuo wakifuatilia pambano kwa makini
Mganga mkuu wa Timu yA Wakufunzi  Miss AGRIPINA afurahia vipaji vya timu yake.
Sanga ,Z(KIZA), akiwanyanyasa mabeki wa timu ya wanachuo,pasi iliyopigwa moja kwa moja kwa T,Masunga na kuipatia timu ya Wakufunzi bao la kwanza.
Baadhi ya wanachuo wakishangwaza na kiwango kikubwa cha soka kilichoonyeshwa na Wakufunzi 
 Beki maili wa timu ya Wakufunzi,Mbuyu twite,(katikati)akiwa kazini

No comments:

Post a Comment