KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Monday, March 3, 2014

UFARAGUZI WA ZANA ZA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZIA NDANI YA MHONDA TC.

Mwanachuo wa mwaka wa pili,Seleman K Abdunuru akionyesha umahiri wa kufaragua zana.
Mkufunzi J.Kinanda akijaribu kuibeba moja ya nyumba iliyofaraguliwa .





Zana hizi zote zimefaraguliwa na kutengenezwa na Suleiman Abdunuru wa mwaka wa pili 2013/2014 Chuo Cha Ualimu Mhonda.

1 comment: