KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Tuesday, February 5, 2013

GAUCHO, NEYMAR NA WATATU WA CHELSEA WOTE KUANZA DHIDI YA ENGLAND WEMBLEY LEO

KOCHA Roy Hodgson na vijana wake wanatambua ugumu watakaokutana nao kwenye mchezo wa leo usiku dhidi ya Brazil na tayari kocha wa wapinzani wake, Luiz Felipe Scolari amekwishataja kikosi cha kwanza.
Ronaldinho, Neymar na Luis Fabiano wanatarajiwa kuanza kwenye Uwanja wa Wembley, pamoja na nyota wa Chelsea, David Luiz, ambaye ni Nahodha wa kikosi hicho, Ramires na Oscar, na kipa wa Queens Park Rangers, Julio Cesar
 On the ball: Neymar (left) watching Ronaldinho (right) is among the starting XI for Brazil
Neymar (kushoto) akimuangalia Ronaldinho (kulia)

Wengine wanaotarajiwa kuwamo kwenye kikosi hicho kitakachoivaa England ni pamoja na Daniel Alves, Dante, Adriano na Paulinho.
Nyota wa zamani wa Barcelona, Ronaldinho, mwenye umri wa miaka 32, mara ya mwisho aliichezea nchi yake mwaka uliopita ikifungwa 2-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Bosnia.
Hodgson tayari amethibitisha kwamba Steven Gerrard atakuwa Nahodha wa timu leo upande wa England, wakati Ashley Cole atacheza mechi ya 100 ya ki

Prestige friendly: Brazil are looking forward to taking on England at Wembley on Wednesday nightBlue boys: Ramires, David Luiz and Oscar are all in line to start

No comments:

Post a Comment