KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Saturday, June 23, 2012

Chris Brown alaumu vyombo vya habari

STAA CHRIST BROWN amesema vyombo vya habari vimekuwa vikipotosha ukweli kuhusu ugomvi uliotokea hivi karibuni kati yake na rapa Drake.
Brown alisema vyombo vya habari vimekua vikielemea upande mmoja bila kutaka kuchunguza ukweli wa ugomvi huo.
“Ninasikitishwa na jinsi vyombo vya habari vinavyoripoti hili jambo,hakuna anayejua ukweli wa ugomvi ule zaidi yangu mimi na Drake.Kwanini hamuulizi mnaandika tu?” Alihoji brown katika mtandao wa twitter.
Pamoja na kuvilaumu vyombo vya habari hivyo,pia anamtupia lawama,Drake,kuwa  diye aliyeanzisha ugomvi huo kwa kurusha chupa hewani.


No comments:

Post a Comment