KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Saturday, June 16, 2012

MATILDA MARTIN ATWAA TAJI LA MISS DAR CITY CENTRE 2012

 
Miss Dar City Centre aliyepita Alexa William (kushoto), akimkabidhi taji hilo Matilda muda mfupi 
baada ya kutangazwa mshindi.
  
Matilda (katikati), akiwa katika pozi na mshindi wa pili na tatu mara baada ya kutangazwa.

  
Warembo waliobahatika kuingia tano bora wakiwa katika pozi. 
Majaji wa shindano hilo wakiwa katika kutafakari mawili matatu.
  
Diamond akiwa amezungukwa na mashabiki zake.  
Mshereheshaji wa shindano hilo Hamisi Mandi ‘B12’, akiwajibika jukwaani hapo.




No comments:

Post a Comment