KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Saturday, August 4, 2012

STARS KUCHEZA NA BOTSWANA AGOST 15

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kucheza mchezo maalum wa Kalenda ya FIFA na timu ya Taifa ya Botswana (Zebras) Agosti 15 mwaka huu, mchezo utakaofanyika jijini Gaborone.
Tayari Kocha Kim Poulsen alishatangaza kikosi cha wachezaji 21 kitakachoingia kambini Agosti 8 mwaka huu tayari kwa mechi hiyo ya kirafiki ya kujipima nguvu.

No comments:

Post a Comment