KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Thursday, July 19, 2012

AJALI YA MELI: WABUNGE WAMFARIJI DK. SHEIN

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea jana, ikiokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar
  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na  Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi Mhe,Shamsi Vuai
Nahodha,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na ajali ya Meli ya Mv SKAGIT ya Kampuni ya SEAGUL iliyotokea jana, ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar

No comments:

Post a Comment