KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Friday, July 27, 2012

Mwanamuziki Jose Chameleone atinga Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda na Mabango kutaka arudishiwe passport yake inayoshikiliwa na Erick Shigongo

 
Mwanamuziki wa Nchini Uganda,Jose Chameleone (ambaye hivi karibuni alikuwepo hapa nchini kwa shoo yake moja) leo amefanya maandamano mpaka Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda akiambatana na wapenzi wa muziki wake,kwa lengo la kutaka kurudishiwa Passport yake inayodaiwa kuwa inashikiliwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers,Erick Shigongo.hapa akizungumza na askari wa Ubalozini hapo.Inasemekana kuwa Shigongo aliamua kuchukua uamuzi huo wa kuchukua passport ya "Jose Chameleone" kwa kuwa Meneja wake alimtapeli kiasi cha dola 3500 kipindi cha nyuma hivyo ameamua kuzuia paspoti hadi arudishiwe fedha yake.

1 comment:

  1. good day, to all the fantastic guys in Doha . i am new in Escorts in Doha and just arrived from Indian . i'm an Asian splendor with lovely exceptional appears, and slim and slim frame, and remarkable, sexy boobs and Lips. Doha Escorts prepared for all your offerings at my place in Heights or at your resort for a comfy night collectively. i am geared up for all forms of oral services and i am exceedingly experienced on this.

    ReplyDelete