KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Tuesday, July 24, 2012

JOHN 13OKO AIPELEKA AZAM NUSU FAINALI

John I3occo apeleka kilio Msimbazi
Mabao matatu kutoka kwa John Bocco yametosha kuipeleka kwa mara ya kwanza Timu ya Azam katika Nusu fainali ya Kagame Cup 2012. Simba iliambulia bao moja tu kutoka kwa Shomari kapombe.
Kocha wa Simba Milovan amesikitishwa na matokeo na akasema hakutegemea lakini hana la kufanya. Hajawalaumu wachezaji akisema ni moja ya mchezo.
Huku kocha wa Azam FC, Stewart akisema sasa wanatazama ubingwa wa Cecafa Kagame Cup.

No comments:

Post a Comment