KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Sunday, July 29, 2012

YANGA BINGWA TENA KOMBE LA KAGAME


 Hiki ndiko kikosi cha yanga kilichofanya mauaji ya goli 2-0 dhidi ya Azam FC

Yanga imefanikiwa kulitwaa tena Kombe la Kagame mwaka huu wa 2012,  na hivyo kuutetea ubingwa wa kombe hilo iliokuwa inaushikilia. Imefanikiwa kuutwaa ubingwa leo baada ya kuifunga Azama FC, katika mechi ya fainali kwenye Uwanja wa Taifa, jijini  Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Hamis Kiiza katika kipindi cha kwanza  na Saidi Bahanuzi kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment