KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Thursday, July 12, 2012

SIMBA YAICHAPA AZAM NA KUTWAA URAFIKI CUP

Simba yaichapa Azam na kutwaa Urafiki Cup
Simba wameibuka vinara na kulinyakua kombe la Urafiki baada ya kuichapa Azam FC. Mchezo ulioisha kwa sare ya bao 2-2, ulipelekea timu hizo kuiingia katika hatua ya matuta. Simba 5-3 Azam FC
Kwa upande wa Simba; Maftah, Kigi na Mwinyi kazimoto ndio walifunga penati hizo huku Haruna Moshi Boban akikosa.
Azam FC alikuwa ni Mcha Khamis ambae alifunnga penati hiyo moja, huku Mwaipopo, Wazir Salum na Hamid Mao wakikosa penati zao.
Azam FC na Simba SC zote zitakuwa katika michuano ya Kagame Cup, inayotalajiwa kuanza jumamosi hii.

No comments:

Post a Comment