KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Wednesday, July 4, 2012

KOCHA WA YANGA ALIPOWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA J.K.NYERERE LEO MCHANA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtlDk3wiZ-Ap1IGWjnoStsnwZ9aG0i1-dFjKC-hAou0zvMoxivDQ23xi4ONZ95suERLDcPfr9APII6uSaK-IWq6kaq7rwjftKh67WYQcPdexSZYLMWtjBVEMj6-On6352Srcvk5Vzka4g/s400/Kocha+Yanga+1.jpg  
Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wapenzi wa klabu hiyo. wanachama wa timu hiyo wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi yake tangu anatokea ndani ya Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani
  
Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia mara baada ya kumuona kocha wao mpya alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mawalimu J.K.Nyerere.

2 comments:


  1. Get fulfilled by means of The unmistakable magnificence Of Pakistani and Indian Call young ladies In Dubai..!
    you are welcome to Spice Dubai - Pakistani and Indian call young ladies in Dubai as you're looking out the top notch sites for escort. we are working because of the reality a long haul, and right now, we have acquired a gigantic prominence inside the market. we've clients from various segments of the division, and this is the rationale why we in no way, shape or form trade off with the colossal of our contributions. Our escorts are moderately gifted and talented in introducing entire delight to our customers.
    escorts in dubai
    Call girls in dubai

    ReplyDelete
  2. you guys doing very well posting on this blog Doha Escorts

    ReplyDelete