KARIBU KATIKA BLOG HII YA KIJAMII



dstv

blog

Friday, July 6, 2012

KOCHA MPYA WA YANGA AANZA KAZI


Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Yanga katika eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 
 Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji akiwafunda wachezaji wa Yanga kabla ya kuanza mazoezi,  eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment